Msichana alipooza baada ya kurushwa nje ya gari katika barabara ya Thika

4 Views
Published
Msichana alipooza baada ya kurushwa nje ya gari katika barabara ya Thika
Immaculate Khaemba alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Karatina
Alitupwa nje ya gari lililokuwa likienda kwa kasi alipotofautiana na kondakta
Familia haijapata haki tangu mwaka wa 2017, binti yao hakumbuki mengi
Category
Newsmax TV
Be the first to comment